Waziri wa fedha Kenya Henry Rotich akamatwa baada ya kujisalimisha kuhusu tuhuma za ufisadi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waziri wa fedha Kenya Henry Rotich akamatwa baada ya kujisalimisha kuhusu tuhuma za ufisadi

Waziri wa fedha Henry Rotich amekamatwa baada ya kujisalimisha kwa maafisa wa upelelezi kufuatia agizo la mkurugenzi wa mashtaka Noordin Haji kuwa waziri huyo na maafisa wengine wakamatwe na washtakiwe.


Source: BBC SwahiliRead More