WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO –IHUMWA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO –IHUMWA


Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isidor Mpango (katikati) akipata maelezo namna ujenzi wa Ofisi za Wizara unavyoendelea kutoka kwa Mhandisi Elisante Olomi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), alipotembelea eneo la ujenzi huo katika Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isidor Mpango (watatu kulia) akitoa maagizo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Bi. Grace Sheshui (wakwanza kulia), wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Khatibu Kazungu, Ihumwa Jijini Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isidor Mpango akisaini kitabu cha wageni alipotembelea na kukagua ujenzi wa Ofisi za Wizara hiyo, Ihumwa Jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isidor Mpango (kushoto) akioneshwa ramani ya majengo Wizara hiyo kutoka kwa Mhandisi Elisante Olomi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), alipotembelea eneo la ujenzi huo katika Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha M... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More