WAZIRI WA KILIMO AAGIZA KURUDIWA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA USHIRIKA KILA MAHALI PENYE DOSARI WILAYANI IKUNGI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI WA KILIMO AAGIZA KURUDIWA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA USHIRIKA KILA MAHALI PENYE DOSARI WILAYANI IKUNGI

Waziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akizungumza jambo kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mkunguakihendo kilichopo katika kata ya Kikio, Wilaya ya Ikungi wakati wa ziara ya kukagua vituo vya ununuzi na ukusanyaji wa pamba Mkoani Singida, Jana 8 juni 2018. Picha Zote Na Mathias Canal-WKWaziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akishuhudia ununuzi na ukusanyaji wa pamba baada ya mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mkunguakihendo kilichopo katika kata ya Kikio, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Jana 8 juni 2018.Waziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akizungumza akiwasikiliza kwa makini maswali ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mkunguakihendo kilichopo katika kata ya Kikio, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Jana 8 juni 2018.Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mkunguakihendo kilichopo katika kata ya Kikio kabla ya kumkaribisha Waziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba , Jana 8 juni 2018... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More