WAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA AZINDUA MINADA YA KAHAWA KANDA YA MBEYA / SONGWE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA AZINDUA MINADA YA KAHAWA KANDA YA MBEYA / SONGWE

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati wa uzinduzi wa minada ya kahawa kanda ya Mbeya-Songwe Leo tarehe 22 Agosti 2019 katika hafla iliyofanyika katika Mji mdogo wa Mlowo, wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Sehemu ya wanunuzi na watumishi wa Bodi ya Kahawa wakifatilia hotuba ya Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa minada ya kahawa kanda ya Mbeya-Songwe Leo tarehe 22 Agosti 2019 katika hafla iliyofanyika katika Mji mdogo wa Mlowo, wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati wa uzinduzi wa minada ya kahawa kanda ya Mbeya-Songwe Leo tarehe 22 Agosti 2019 katika hafla iliyofanyika katika Mji mdogo wa Mlowo, wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akifatilia jinsi mnada wa kahawa unavyoendeshwa mara baada ya uzinduzi wa minada ya kahawa kanda ya Mbeya-Songwe Leo tarehe 22 Agosti 2019 katika hafla iliyofanyika k... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More