WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DK. HAMISI KIGWANGALLA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MASWA

. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia akioneshwa ramani ya Pori la Akiba Maswa na Meneja wa pori hilo, Lusajo Masinde (kushoto kwake) wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu jana.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua moja ya eneo la "camp" ya kitalii katika Pori la Akiba Maswa wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu jana. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, viongozi wa Pori la Akiba Maswa na Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Makao wakiangalia mandhari ya Pori la Akiba Maswa lililopo wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi mkoani humo jana. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More