WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola akisalimiana na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Alli Mussa pamoja na Maofisa wengine alipokuwa akiwasili Makao Mkauu ya Polisi kwa ajili ya kuzungumza na Maofisa Wakuu wa Polisi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola  akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro wakati wa kikao chake na Maofisa Wakuu wa Polisi kilichofanyika Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola  akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro wakati wa kikao chake na Maofisa Wakuu wa Polisi kilichofanyika Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam.Picha na Jeshi la Polisi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More