WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA HAROUN ALI SULEIMAN AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA HAROUN ALI SULEIMAN AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR

 Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya kuzuia rushwa na Uhujumu Uchumi Mussa Haji Ali akitolea ufafanuzi juu ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika katika mkutano wa Waandishi wa Habari na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman kuzungumzia siku ya kupambana na Rushwa na Uhujumu uchumi ambayo huadhimishwa kila ifikapo 11/07/2019 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi hio Mazizini Zanzibar. 
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Yakut Hassan Yakut akitoa maelezo na kumkaribisha mgeni Rasmi katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman kuzungumzia siku ya kupambana na Rushwa na Uhujumu uchumi ambayo huadhimishwa kila ifikapo 11/07/2019 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi hio Mazizini Zanzibar.Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ha... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More