WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU

Muonekano wa Viwanja vya Nyakabindi ambako kunafanyika maonesho ya nane nane kitaifa mkoani Simiyu.Waziri wa Uvuvi na Mifugo,Luhaga Mpina akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi Binafsi ya kusaidia Sekta ya Kilimo nchini (PASS) Nicomed Bohay wakati alipotembelea Banda la taaasisi hiyo lilipo katika viwanja vya nane nanemkoani Simiyu.Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kusaidia Sekta Binafsi zinazojihusisha na masuala ya Kilimo,Uvuvi na Ufugaji ,(PASS) Nicomed Bohay akimuonesha Waziri wa Uvuvi na Mifugo,Luhaga Mpina mfano wa Bwawa linalotumika kufugia samaki ,Mabwawa ambayo Taasisi ya PASS imekuwa ikisadia katika upatikanaji wa mikopo kwa Wafugaji wa Samaki ili waweze kufuga kisasa.Mmoja wa wanufaika wa huduma zinazotolewa na Taasisi binafsi ya kusaidia sekta ya Kilimo nchini (PASS) ikiwemo ya unenepeshaji wa Ngombe Michael Tegeshi akitoa maelezo kwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo,Luhaga Mpina alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maonesho ya nane nane yanayofanyika katika viwanja v... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More