#WC2018: Asanteni kwa kuja - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#WC2018: Asanteni kwa kuja

KELELE za Waingereza zimehitimishwa juzi usiku kule Russia baada ya kuchapwa na Croatia mabao 2-1 kwenye dakika za nyongeza. Sasa wanasubiri pambano la mshindi wa tatu dhidi ya Ubelgiji kesho Jumamosi ili warudi nyumbani.


Source: MwanaspotiRead More