#WC2018: Hazard bana! Eti kajitaja mwenyewe - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#WC2018: Hazard bana! Eti kajitaja mwenyewe

Mshambuliaji wa Ubelgiji hakutaka kupindisha wala kuwaza sijui nani, alipoulizwa tu na waandishi wa habari kuwa anadhani nani anafaa kuwa mchezaji bora wa Fainali za Kombe la Dunia 2018, akajitaja mwenyewe.


Source: MwanaspotiRead More