#WC2018: Mashabiki wajitenga baharini kukwepa presha fainali Ufaransa vs Croatia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#WC2018: Mashabiki wajitenga baharini kukwepa presha fainali Ufaransa vs Croatia

Jumapili ndio itakuwa safari ya mwisho iliyoanzishwa pale Moscow, nchini Russia Juni 14, baada ya miamba wa soka Croatia na Ufaransa kuthibitisha ubora na kutinga hatua ya fainali kwenye Kombe la Dunia.


Source: MwanaspotiRead More