#WC2018: Ndo ivyo tena - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#WC2018: Ndo ivyo tena

KWA dakika 68 mademu wa England hawakushikika jukwaani wakiwashangilia ‘mabebi’ wao waliokuwa wakipambana uwanjani na kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Croatia kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia iliyopigwa uwanjani Luzhniki juzi Jumatano usiku, kabla ya mambo kubadilika na wao kugeuka kuwa wafariji kwa mastaa hao baada ya filimbi ya mwisho.


Source: MwanaspotiRead More