#WC2018: Philipp Lahm, Natalia Vodianova kupeleka Kombe Luzhniki - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#WC2018: Philipp Lahm, Natalia Vodianova kupeleka Kombe Luzhniki

Jumapili, Julai 15 mwaka huu, macho na masikio ya mashabiki wa soka, yataelekezwa katika uwanja wa Luzhniki, wenye uwezo wa kuhukua mashabiki 81,000 kwa ajili ya kushuhudia mtanange wa kukata na shoka wa fainali ya Kombe la Dunia 2018, kati ya Ufaransa na Croatia.


Source: MwanaspotiRead More