#WC2018: Sababu tatu Croatia kubeba Kombe la Dunia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#WC2018: Sababu tatu Croatia kubeba Kombe la Dunia

Fainali za Kombe la Dunia 2018, zilizoanza kutimua vumbi, Juni 14,  mwaka huu, zitamalizika Jumapili hii kwa mechi ya kibabe ya fainali, itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Russia, maarufu kama Luzhniki na kushuhudiwa na mashabiki 81, 000 pamoja na wengine wengi kutoka kila pembe ya dunia.


Source: MwanaspotiRead More