#WC2018: Wanaume 736 wa Kombe la Dunia 2018 hawa hapa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#WC2018: Wanaume 736 wa Kombe la Dunia 2018 hawa hapa

ARGENTINA
Kipa: Franco Armani, Willy Caballero na Sergio Romero.

Mabeki: Marcos Acuña, Cristian Ansaldi, Federico Fazio, Gabriel Mercado, Nicolas Otamendi, Marcos Rojo na Nicolas Tagliafico.

Viungo: Ever Banega, Lucas Biglia, Angel Di Maria, Giovani Lo Celso, Manuel Lanzini, Javier Mascherano, Maximiliano Meza, Cristian Pavon na Eduardo Salvio.

Washambuliaji: Sergio Aguero, Paulo Dybala, Lionel Messi na Gonzalo Higuain.

Ziada: Mauro Icardi, mfungaji hatari Serie A msimu uliopita, ameachwa.AUSTRALIA

Makipa: Mat Ryan, Brad Jones na Danny Vukovic.

Mabeki: Josh Risdon, Trent Sainsbury, Matthew Jurman, Aziz Behich, Mark Milligan, Milos Degenek na James Meredith.

Viungo: Aaron Mooy, Tom Rogic, Massimo Luongo, Mile Jedinak, Dimitri Petratos, Jackson Irvine, Mathew Leckie na Daniel Arzani.

Mastraika: Tim Cahill, Tomi Juric, Jamie Maclaren, Andrew Nabbout na Robbie Kruse.

Ziada: Maclaren ameitwa japokuwa hakuwemo kwenye kikosi cha kwanza cha wachezaji 26 walioitwa na kocha, Bert van Marwijk. Ni wachezaji sita waliokuwa kwenye kikosi cha Socceroos’ fainali za 2014.

UBELGIJI

Makipa: Thibaut Courtois, Simon Mignolet na Koen Casteels.

Mabeki: Toby Alderweireld, Dedryck Boyata, Laurent Ciman, Leander Dendoncker, Vincent Kompany, Thomas Meunier, Thomas Vermaelen na Jan Vertonghen.

Viungo: Yannick Carrasco, Kevin De Bruyne, Mousa Dembele, Marouane Fellaini, Youri Tielemans, Axel Witsel na Nacer Chadli.
Mastraika: Michy Batshuayi, Eden Hazard, Thorgan Hazard, Romelu Lukaku, Dries Mertens na Adnan Januzaj.

Ziada: Yamatajwa majina 24, kwa sababu Kompany,ambaye alikosa Fainali za Euro 2016 kutokana na majeraha, aliumia juzi mechi na Ureno. Kocha Roberto Martinez alisema atapona kufikia Juni 17, kabla ya kucheza na Panama, au vinginevyo anaweza kukatwa.


BRAZIL

Makipa: Alisson, Ederson na Cassio.

Mabeki: Miranda, Marquinhos, Thiago Silva, Geromel, Marcelo, Fagner, Danilo na Filipe Luis.

Viungo: Casemiro, Fernandinho, Paulinho, Renato Augusto, Philippe Coutinho, Willian na  Fred.

Mastraika: Neymar, Gabriel Jesus, Firmino, Taison na Douglas Costa.

Ziada: Kuna vitu vichache kocha Tite amefanya kabla ya kutangaza kikosi cha mwisho.


COLOMBIA

Makipa: David Ospina, Camilo Vargas na Jose Fernando Cuadrado.
Mabeki: Cristian Zapata, Davinson Sanchez, Santiago Arias, Oscar Murillo, Frank Fabra, Johan Mojica na Yerry Mina.
Viungo: Wilmar Barrios, Carlos Sanchez, Jefferson Lerma, Jose Izquierdo, James Rodriguez, Abel Aguilar, Mateus Uribe, Juan Fernando Quintero na Juan Guillermo Cuadrado.
Mastraika: Radamel Falcao, Miguel Borja, Carlos Bacca na Luis Muriel.

Ziada: Zapata ameitwa licha ya kucheza mechi 12 tu za AC Milan msimu uliopita.

COSTA RICA

Makipa: Keylor Navas, Patrick Pemberton na Leonel Moreira.

Mabeki: Cristian Gamboa, Ian Smith, Ronald Matarrita, Bryan Oviedo, Oscar Duarte, Giancarlo Gonzalez, Francisco Calvo, Kendall Waston na Johnny Acosta.

Viungo: David Guzman, Yeltsin Tejeda, Celso Borges, Randall Azofeifa, Rodney Wallace, Bryan Ruiz, Daniel Colindres na Christian Bolanos.

Mastraika: Johan Venegas, Joel Campbell na Marco Urena.

Ziada: Ticos na wachezaji wengine sita wako MLS ya Marekani na wengi wameteuliwa kutoka Ligi Kuu ya Marekani.CROATIA

Makipa: Danijel Subasic, Lovre Kalinic na Dominik Livakovic.

Mabeki: Vedran Corluka, Domagoj Vida, Ivan Strinic, Dejan Lovren, Sime Vrsaljko, Josip Pivaric, Tin Jedvaj na Duje Caleta-Car.

Viungo: Luka Modric, Ivan Rakitic, Mateo Kovacic, Milan Badelj, Marcelo Brozovic na  Filip Bradaric.

Washambuliaji: Mario Mandzukic, Ivan Perisic, Nikola Kalinic, Andrej Kramaric, Marko Pjaca na Ante Rebic.

Ziada: Beki Matej Mitovic ameachwa dakika za mwisho kati ya wachezaji 24, Alikuwa kwenye timu tangu Aprili.


DENMARK


Source: MwanaspotiRead More