#WC2018: Wazee wa makombora Russia 2018 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#WC2018: Wazee wa makombora Russia 2018

UNAWEZAJE kushinda kwa takwimu hizi? England kwa dakika 120 ilizocheza na Croatia kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia usiku wa juzi Jumatano kule Moscow, Russia, ilipiga mashuti mawili tu kulenga goli la wapinzani wao.


Source: MwanaspotiRead More