WCB Watoa Zawadi ya Gari kwa Wasanii Hawa. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WCB Watoa Zawadi ya Gari kwa Wasanii Hawa.

wasanii wawili kutoka wcb, mbosso na lavalva siku ya 8-8 wamekabidhiwa zawadi ya gari na uongozi wa wcb ikiwa kama ishara ya kazi nzuri wanayoifanya katika lebel hiyo.Hii sio mara ya kwanza kwa uongozi wa wcnb kuwa wakitoa magari kwa wasanii wao hasa pale inapoonekana kuwa na juhudi katika kazi zao za muziki na katika kuitangaza lebel hiyo .


Hata baada ya kupewa zawdi hizo za magari,wasanii hawa waili walioneka akuwa na furaha na hata kusikika lavalava akisema ‘ eeeh bwana  kama unavyoona , mambo yamefana.tukutane sheli ,mwabie na mwenzio , mr mbosso waambie wasikie kuwa aiefanya kazi na asile.”


Wasanii hawa waili wamepewa magari aina ya Toyota Harrier , huku moja ikiwa nyeusi na moja ikiwa ni rangi ya maziwa.


The post WCB Watoa Zawadi ya Gari kwa Wasanii Hawa. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More