WCF YATOA MAFUNZO KUHUSU NAMNA YA KUFANYA TATHMINI YA UGONJWA NA AJALI ZITOKANAZO NA KAZI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WCF YATOA MAFUNZO KUHUSU NAMNA YA KUFANYA TATHMINI YA UGONJWA NA AJALI ZITOKANAZO NA KAZI

Baadhi ya madaktari na watoa huduma za afya wakionesha stika watakazobandika kwenye ofisi zao, mara baada ya kushiriki mafunzo ya siku tano ya namna ya kufanya tahmni ya ugonjwa na ajali zitokanazo na kazi mjini Morogoro. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) yamefungwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mei 10, 2019.  Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Franck Jacob, (wapili kushoto), akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki Dkt. George mwishoni mwa mafunzo hayo. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini WCF, Dkt.Abdulsalaam Omary, na Daktari bingwa na mbobezi wa magonjwa ya mifupa na viungo, Dkt. Robert Mhina ambaye ni kiongozi wa jopo la watoa mada.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano WCF, Bi. Laura Kunenge, (kulia), akimkabidhi stika, Dkt.Emmanuel M. Shija, kutoka Hospitali ya Rufaa ya Temeke jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano WCF, Bi. Laura Kunenge, (kulia), akimkabidhi stika, Bi. Rosemary K. Mbaule... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More