WCF YATWAA TUZO MAONESHO YA 43 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM 2019 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WCF YATWAA TUZO MAONESHO YA 43 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM 2019

Makamu wa Pili wa Rais, Serikali ya Mainduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi(wapili kushoto), akimkabidhi tuzo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Abraham Siyovelwa wakati wa hafla ya kufunga rasmi maonesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Julai 11, 2019. WCF imetwaa tuzo ya mshindi wa pili kundi la Taasisi za Hifadho ya Jamii na Bima. Maonesho hayo yatafikia kilele Julai 13, 2019. 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa, (wapili kushoto), akimpongeza Bw. Siyovelwa kwa tuzo hiyo.Balozi Seif Ali Iddi akihutubia katika hafla hiyo.Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa, akitoa hotuba yake.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano WCF, Bi. Laura Kunenge (mwenye nguo nyeupe), akifuatilia utoaji wa tuzo hizoKaimu Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Abraham Siyovelwa (mwenye tai nyekundu), akiwa kwenye hafla hiyo kabla ya kuitwa kupokea tuzo hiyo.Bw. Siyovelwa akiwa na timu iliyokuwa ikitoa huduma kwenye banda la WCF ,mara baada ya kupokea tuzo hiyo.Afis... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More