Wellington Ochieng kuongeza nguvu Gor Mahia dhidi ya Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wellington Ochieng kuongeza nguvu Gor Mahia dhidi ya Simba

Klabu ya Gor Mahia imethibitisha kuwa, nyota huyo wa zamani wa Muhoroni Youth, atakuwepo katika kikosi cha Kocha, Mwingereza Dylan Kerr kesho na tayari ameshajiunga na timu mjini Nakuru.


Source: MwanaspotiRead More