Wema Sepetu afunguka na kuwashukuru Bodi ya Filamu baada ya kumuachia huru kuendelea na kazi zake za sanaa (+ Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wema Sepetu afunguka na kuwashukuru Bodi ya Filamu baada ya kumuachia huru kuendelea na kazi zake za sanaa (+ Video)

Bodi ya Filamu hapa nchini Imetangaza rasmi kumfungulia Star wa Filamu hapa nchini Wema Sepetu Sehemu ya adhabu ambayo walimpatia kutokana na video yake chafu Kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha yupo kimahaba na mtu aliyetajwa yuko nae katika mahusiano.

Katika mkutano na waandishi wa Habari Bodi Imeeleza Kuwa haijamfungulia Wema Kwa kumuonea Huruma Ila wamefanya Hivyo Kwa Sababu ametekeleza Aslimia 75 ya Mambo waliyomuagiza ayafanye. Kwa upande wake Wema amesema kuwa hatorudia tena kosa kwani ilikua mara ya Kwanza Kufungiwa na Bodi huku akionesha Furaha kubwa ya Kupata msamaha Huo.By Ally Juma.


The post Wema Sepetu afunguka na kuwashukuru Bodi ya Filamu baada ya kumuachia huru kuendelea na kazi zake za sanaa (+ Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More