Wema Sepetu akana kuchepuka na mume wa Irene Uwoya, Dogo Janja - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wema Sepetu akana kuchepuka na mume wa Irene Uwoya, Dogo Janja

Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amekanusha vikali tetezi ambazo ziliibuliwa na mwanadada wa mitandaoni Mange Kimambi kwamba kuna siku alichepuka na Dogo Janja ambaye ni mume wa ndoa wa Irene Uwoya.Mange ambaye amekuwa akilumbana kwenye mitandao ya kijamii na Wema Sepetu, siku ya jana alipost chart mtandaoni akionyesha kuzungumza na Dogo Janja kuhusiana na tetesi hizo.


Hata hivyo aliufuta ujumbe huo muda mchache huku watu wengi mtandaoni wakidai kwamba taarifa hizo hazikuwa na ukweli wowote.


View this post on InstagramThey say Love is Blind… And I think I cannot see… I love you Babe… That’s all that matters… US against the world… Na iwe tu…!!! NIMESHACHOKA… Mangapi yamesemwa bwaana…??? . . . Bora nibaki nae tu… Oh He makes me sooo Happy… No matter what…


A post shared by Wema Sepetu (@wemasepetu) on Oct 17, 2018 at 11:35pm PDT

Baada ya kuibua tetesi hizo, Wema ambaye siku ya jana alimtangaza mpenzi wake mpya... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More