Wema Sepetu amtambulisha mume wake mtarajiwa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wema Sepetu amtambulisha mume wake mtarajiwa

Msanii wa Bongo Movie na aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu ameamua kumtambulisha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa Instagram.Wema ameposti picha hiyo na mwanaume mmoja ambaye hakuweza kutambulika kwa haraka ingawa sura yake inaonekana,picha hiyo inaonekana kabisa Wema na mwanaume huyo wako kitandani wamelala ingawa mpiga picha ni Wema mwenyewe akipiga Selfie.Ifahamike kwamba mrembo Wema amekaa muda mrefu bila watu kumtambua mwanaume wake kwani alishazoea kuwapost wanaume anaokuwa nao kwenye mahusiano,kipindi cha hapa katikati watu walihisi mrembo huyo yupo kwenye mahusiano na muigizaji kutoka nchini Ghana ambaye amefanya nae Movie waliyoitambulisha mwezi wa tisa ambayo inajulikana kwa jina la D.A.D, na maswali hayo aliulizwa kwenye mahojiano yake mbalimbali na vyombo tofauti vya habari ila wema alikataa lakini leo ameweza kumuweka hadharani mwanaume wake ambaye yeye anamuita “My future husband”.Wema Sepetu amefanikiwa kuwa kwenye mahusiano tofauti tofau... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More