Wema Sepetu,Aunty Ezekiel na Hamisa Mobetto ndani ya Naija Style - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wema Sepetu,Aunty Ezekiel na Hamisa Mobetto ndani ya Naija Style

We are loving this Naija style ya kuvaa malemba na kutupia jimtandio begani so hii ni style wanavaa Yoruba tribe ambao wanavaa gele ,buba ambayo ni blouse na iro ambayo wanafunga kiunoni.


Kwa Bongo tumeona week hii ambao wametisha sana ni Wema na Aunty Ezekiel ambaye alivaa kwenye uzinduzi wa movie yake ya Mama pale Mlimani City unfortunately Wema Sepetu couldn’t make it ila alipiga picha.


Walipendeza sana sana but Hamisa Mobetto alivaa this kind of style mwaka jana kwenye party ya arubaini ya mtoto wake Dyalan .Wema alivalishwa na Elisha Red Label ,Makeup by Laviemakeup


Wema aliependeza sana sana 


Just heavenly kama asemavyo mwenyewe Aunty Ezekiel alivishwa na Mobetto styles,makeup ni mkono wa Laviemakeup


this color
Hamisa Mobetto wowed in blue full look


alivalishwa na maccouture... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More