Wema Sepetu Kuja na Event Ya Mwaka ‘Birthday Bash’ - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wema Sepetu Kuja na Event Ya Mwaka ‘Birthday Bash’

Muigizaji wa Bongo movie mrembo Wema Sepetu amefunguka na kutangaza shughuli yake ambayo ameitangaza kama ‘Birthday Bash’ itakayofanyika tarehe 28 Septemba.


Wema ametangaza kuwa  tiketi za ‘Birthday Gala’ zitaanza kuuzwa rasmi kuanzia kesho (Jumamosi) huku bei elekezi zikiwa ni 50000 kwa tiketi moja na kwa meza ya watu 10 ikiwa ni tsh 500,000.


Mrembo huyo atafanya matukio mawili kwa pamoja, uzinduzi wa filamu yake mpya ‘Dad’ alioshirikiana na Van Vicker kutoka Nigeria pamoja na kusherekea birthday yake ambayo ameiita Bithday Gala.


View this post on InstagramWow…!!! Two weeks to Go… Nikimaanisha 14 Days… Haiya kazi ya Card kesho inaanza Inshallah… Zipo Chache sana… Zitakapokuwa SOLD OUT usilaumu mtu… 💋💋💋


A post shared by Wema Sepetu (@wemasepetu) on Sep 13, 2018 at 8:16pm PDT

The post Wema Sepetu Kuja na Event Ya Mwaka ‘Birthday Bash’ appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More