Wenger atangaza vita kurudi tena mzigoni, Asema anarejea mwezi January - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wenger atangaza vita kurudi tena mzigoni, Asema anarejea mwezi January

Aliyekuwa kocha wa Arsenal Mfaransa Arsenal Wenger ambaye alitangaza kustaafu soka majira ya joto mwezi mei mwaka huu 2018 na nafasi yake kuchukuliwa na Mhispania ambaye aliitumikia klabu hiyo yenye maskani yake London nchini Uingereza ametangaza kurejea tena kazini.Wenger amesema hayo na kusema kuwa “Naamini ntarejea tena mwezi Januari sinauhakika ntaanzia wapi ila najisikia kurudi na niko tayari kurejea tena”


Arsene Wenger ameelezea nia yake ya kurudi kwenye soka mwezi Januari baada ya kupokea ofa nyingi sana kutoka duniani kote.


Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 68 alimaliza utawala wake huko Arsenal msimu uliopita baada ya kukata tamaa kwa muda kutokana na kutokuwa na mafanikio makubwa katika klabu hiyo yenye maskani yake Emirates, lakini anahisi kuwa bado ana nguvu na yuko tayari kukabiliana na changamoto mpya.“Ndani ya miaka yangu 22 niliyoitumikia Arsenal, nina uzoefu mkubwa katika viwango mbalimbali. Kuna maswali mengi sana kutoka duniani kote,” alisema Mfaransa hu... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More