WEST HAM UNITED YAIGONGA NYUNDO MOJA ARSENAL LONDON - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WEST HAM UNITED YAIGONGA NYUNDO MOJA ARSENAL LONDON

Kiungo Declan Rice akishangilia baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 akimalizia pasi ya mchezaji mpya, Samir Nasri katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Ushindi huo unaipandisha West Ham kutoka nafasi ya 11 hadi ya nane kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikifikisha plointi 31 katika mechi ya 22, wakati Arsenal inabaki nafasi ya tano na pointi zake 41 za mechi 22 pia  ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More