WFT YAKUTANA NA WADAU KUJADILI MBINU ZA KUKOMESHA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO SHINYANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WFT YAKUTANA NA WADAU KUJADILI MBINU ZA KUKOMESHA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO SHINYANGA

Mratibu wa Mradi wa Kusaidia Utekelezaji wa Mpango wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto mkoa wa Shinyanga, Glory Mbia akielezea lengo la mkutano wa wadau wa haki za wanawake na watoto uliofanyika leo katika ukumbi wa Karena Hoteli Mjini Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog.
Mratibu wa Mradi wa Kusaidia Utekelezaji wa Mpango wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto mkoa wa Shinyanga, Glory Mbia akizungumza kwenye mkutano huo.

Afisa Ustawi wa Jamii wa halmashauri ya Shinyanga ,Elizabeth Mweyo akizungumza katika mkutano wa wadau wa haki za wanawake na watoto.
Mkuu wa Progamu kutoka Women Fund Tanzania, Carol Francis Mango akiwasilisha mada kuhusu Mradi wa Kuwezesha Utekelezaji wa Mpango wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Wadau wa haki za wanawake na watoto wakiwa ukumbini.Mwakilishi wa BAKWATA Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga,Hemed Rashid akichangia hoja wakati wa m... Continue reading ->
Source: KajunasonRead More