WhatsApp: Mbioni VoiceNote Kuanza Kujibika Katika Eneo La Notification! #iOS #iPhone - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WhatsApp: Mbioni VoiceNote Kuanza Kujibika Katika Eneo La Notification! #iOS #iPhone

WhatsApp ni mtandao  kubwa sana wa kijamiii, watumizi wake wanazidi ongezeka siku hadi siku! Hakika ni moja ya njia rahisi sana ya kuwasiliana na watu duniani kote. Mara kwa mara mitandao hii ya kijamii huwa inatoa maboresho mbali mbali ili kujihakikishia inazidi kukua na kuendelea zaidi. Kupitia ukurasa wa Twitter WABetaInfo kama kawaida yao wamekuwa [...]


The post WhatsApp: Mbioni VoiceNote Kuanza Kujibika Katika Eneo La Notification! #iOS #iPhone appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More