WhatsApp mwisho kupatikana kwenye hizi simu! 2019.. #Fahamu - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WhatsApp mwisho kupatikana kwenye hizi simu! 2019.. #Fahamu

WhatsApp mwisho kupatikana kwenye baadhi ya simu za zamani kuanzia hivi karibuni. Kama bado unatumia simu ambayo imeingia sokoni miaka kadhaa nyuma basi fahamu huu ni muda wa kubadilisha kama unataka kuendelea kutumia WhatsApp. WhatsApp mwisho kupatikana kwenye simu zifuatazo; Simu zinazotumia programu endeshaji ya Windows – itakapofika Disemba 2019 Simu za iPhone zinazotumia toleo [...]


The post WhatsApp mwisho kupatikana kwenye hizi simu! 2019.. #Fahamu appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More