When a Rich Woman Says ”I have nothing to wear” Nakua Simuelewi - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

When a Rich Woman Says ”I have nothing to wear” Nakua Simuelewi

Donatella Versace Ni Italian Fashion Designer na Vice President wa Versace Group, as well as its chief designer. Anamiliki Asilimia 20 ya kampuni hiyo.Ni wale wa mama ambao uzee ni mwiko ,sawa utakua na kunyanzi uta lift uso but mwili wake na mavazi ndo wale vijana wazee.


Ali share her closet ,walk in closet imepangwa haswaa ,na inavitu vya thamani but at the same time anasema hua anakosa cha kuvaa ,hili swala halina tajiri au mtu wa kawaida, we all go through it but inakua inashangaza kama mtu ana vyuma kama vitatu vya nguo na bado akose ya kuvaa.


Her closet ana share na mbwa wake Audrey


Hii ni close ambayo unaweza vaa nguo mwaka bila kurudia ,from bags,shoes etc


wamepatanga kwa colors na styles za nguo ,upande wa kulioa kunaona magauni na blazers na tops ,hapo nyuma yake ni shoesHuyu mama kama Victoria Beckham full umbaumbau,i know unene sio dili but wembamba mwingine duh


thank to Da Khadija Mwanamboka kwa ku... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More