WIKI YA MAJI YAISHA KWA KISHINDO: WAKAZI WA SARANGA KUTEMBEA KIFUA MBELE KWA MAJI YA DAWASA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WIKI YA MAJI YAISHA KWA KISHINDO: WAKAZI WA SARANGA KUTEMBEA KIFUA MBELE KWA MAJI YA DAWASA

Hitimisho la Wiki ya Maji Duniani, Mamlaka ya MajiSafi na MajiTaka (DAWASA) wamewapa furaha wakazi wa Saranga na maeneo jirani kwa kuwapatia maji safi na salama. Akizungua wakati wa kuzindua mradi wa kuwasambazia maji wakazi wa Saranga Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Kisare Makori amesema kuwa amefurahishwa jinsi DAWASA walivyoweza kuwapa furaha wakazi hao wa Saranga kwa kuwapatia maji ambayo watakuwa wakiyapata masaa 24. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es S  alaam Kisare Makori (kushoto) akimpongeza Kaimu Mkurugenzi wa miradi DAWASA Lydia Ndibalema kwa kuweza kufanikisha uwekaji wa bomba eneo la Saranga jijini Dar es Salaam. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.  Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Kisare Makori (kushoto) akimpongeza Kaimu Mkurugenzi wa miradi DAWASA Lydia Ndibalema kwa kuweza kufanikisha uwekaji wa bomba eneo la Saranga. Wengine wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Kisare Makori (kushot... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More