Wikiendi ngumu: Kule Simba SC, huku Yanga - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wikiendi ngumu: Kule Simba SC, huku Yanga

TOFAUTI na misimu iliyopita, msimu huu 2019/20 mambo yamechenji kidogo. Simba na Yanga zinatarajiwa kufungua msimu huu kwenye michuano ya kimataifa Jumamosi wiki hii, badala ya kuanza kucheza ligi kuu kama ilivyozoeleka. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Yanga kesho tarehe 10 Agosti 2019, atajitupa katika uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kumenyana na Township Rollers ya Botswana ...


Source: MwanahalisiRead More