WILDER AMKALISHA MARA MBILI TYSON FURY LAKINI NGOMA DROO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WILDER AMKALISHA MARA MBILI TYSON FURY LAKINI NGOMA DROO

Bondia Mmarekani, Deontay Wilder 'Bronze Bomber' akiondoka kurejea kwenye kona yake baada ya kumuangusha mpinzani wake, Tyson Fury 'Gipsy King' katika raundi ya 12 Alfajiri ya leo ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, Marekani. Hata hivyo, Muingereza Fury aliyecheza vizuri, aliinuka na kumalizia pambano na matokeo yakawa droo, Wilder aliyemuangusha mpinzani wake raundi ya tisa pia anabaki na mkanda wake wa uzito wa juu wa WBC ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More