Winga mpya Yanga huyu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Winga mpya Yanga huyu

DIRISHA dogo la usajili linafunguliwa Novemba 15, ni wazi kwamba kila timu sasa inahaha kuhakikisha inaziba mapengo ambayo yamejitokeza katika Ligi Kuu inayoendelea. Yanga nayo haichezi mbali, inasaka wakali ambao wanaweza kuwapaisha na kutikisa katika ligi ikiwa ni pamoja na kukata tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa.


Source: MwanaspotiRead More