Winga wa Simba anayetesa Azam - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Winga wa Simba anayetesa Azam

Itachukua muda mrefu Simba kushtuka. Unajua kwa nini? Klabu hii imekuwa ikizalisha na kuwaibua nyota wa soka wangali wadogo, lakini imekuwa hainufaiki nao. Simba imekuwa ikitengeneza vijana wengi wenye viwango vikubwa, lakini huwa hawatumiwi vya kutosha na klabu hiyo na kuwafanya watimke katika timu nyingine na kupata mafanikio makubwa wakiwa huko.


Source: MwanaspotiRead More