WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE

Tunawatangazia watu wote waliosoma katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Machame kuundwa kwa “Machame Girls Alumni”. 
Lengo kuu ni kuienzi elimu bora tuliyoipata, kwa kushirikishana  masuala ya maendeleo, yanayoihusu shule hiyo na jamii kwa ujumla.
Kwa wote wanaopenda kujiunga nasi, tafadhali piga au tuma ujumbe wa simu au whatsapp kwa namba 0784485678 au 0784368484/0768368484 kabla ya tarehe 30 August, 2018.
 JIVUNIE SHULE YAKO, JENGA TAIFA LETUKAMATI YA MAANDALIZI... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More