WIZARA YA AFYA YAHAIDI KUENDELEZA UKARABATI NA KUPANUA VYUO VYA MAFUNZO YA AFYA NCHINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WIZARA YA AFYA YAHAIDI KUENDELEZA UKARABATI NA KUPANUA VYUO VYA MAFUNZO YA AFYA NCHINI

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee wa Watoto Ummy Mwalimu katika akitata utepe kuashiria uzinduzi na makabidhiano ya majengo ya chuo cha Uuguzi Tanga yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa Kupambana na Ukimwi Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella na Mkuu wa Chuo hicho Leah Makala. WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee wa Watoto Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa uzinduzi na makabidhiano ya majengo ya  chuo cha Uuguzi Tanga yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa Kupambana na Ukimwi Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund). KAIMU Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt Otilia Gowelle akizungumza katika uzinduzi huo kulia ni Mkuu wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga Tanga Leah Makala.Mwakilishi wa Mfuko wa Dunia ambaye ni Mratibu wa Mfuko wa Dunia, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hiltruda Temba akizungumza katika uzinduzi huo. MKUU wa M... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More