WIZARA YA ELIMU KUWAKUTANISHA WADAU WA ELIMU ILI KUJADILI MASUALA YA ELIMU NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WIZARA YA ELIMU KUWAKUTANISHA WADAU WA ELIMU ILI KUJADILI MASUALA YA ELIMU NCHINI

Waziri wa Eimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amefungua na kushiriki Mdahalo juu sekta ya Elimu uliofanyika jijini Dar es Salaam.Mjadala huo ulioandaliwa na Mwanachi Communications Ltd ( MCL) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ulihusisha majadiliano juu ya uwezeshaji vijana katika kukuza maarifa na ujuzi mahususi.Akifungua mdahalo huo Waziri Ndalichako amesema Serikali ya awamu ya Tano imewekeza kiasi kikubwa cha rasilimali ili kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji katika ngazi zote za elimu ili vijana wanaosoma wapate mafunzo katika mazingira yatakayowawezesha kuwa mahiri katika fani wanazosomea.Prof. Ndalichako ameongeza kuwa katika ngazi ya elimu ya ufundi na elimu ya juu serikali inaboresha maabara na karakana na kuweka vifaa vya kisasa ili mafunzo kwa vitendo yafanyike kwa tija na kulingana na mazingira ya sasa. Aidha ametolea mfano wa maktaba ya kisasa inayojengwa katika Chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya (MUST) itakayokuwa na uwe... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More