WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YATWAA TUZO MBILI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA DARE SA SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YATWAA TUZO MBILI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA DARE SA SALAAM

Makamu wa Pili wa Rais, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (wapili kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Benny Mwaipaja, tuzo ya mshindi wa pili miongoni mwa mabanda bora ya Wizara, Idara na Taasisi za serikali.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango na Msemaji wa Wizara hiyo Bw. Benny Mwaipaja, akionesha moja kati ya tuzo mbili ambazo Wizara imenyakua kwenye maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), Dar es SalaamMkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango na Msemaji wa Wizara hiyo Bw. Benny Mwaipaja, akionesha tuzo mbili ambazo Wizara imenyakua kwenye maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), Dar es SalaamMkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Benny Mwaipaja aliyeshika tuzo, (katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania-TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka (kulia) na Mkuu wa ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More