WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAWABANA WADAIWA SUGU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAWABANA WADAIWA SUGU


Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
WIZARA ya Fedha na Mipango imewataka wadaiwa sugu wa madeni ya Commodity Import Suport (CIS) na Na Food Aid Counterpart Fund (FAFC) wakiwemo wafanyabishara maarufu nchini Yusuph Manji na Mohamed Dewji 'MO' kuhakikisha wanalipa madeni hayo mara moja.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James katika tangazo la wadaiwa hao iliyotolewa leo Juni 19, 2019 kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa Wizara ya Fedha na Mipango inawataka wadaiwa sugu wa madeni hayo kuhakikisha wanalipa mara moja na kwamba licha ya kutolewa tangazo la awali bado wameshindwa kuitikia mwito.
"Madeni haya ni mkopo wenye masharti nafuu yaliyotolewa kwa Taasisi, Kampuni, Viwanda na Wafanyabiashara,  ambapo wakopaji walitakiwa kulipa deni bila kutozwa riba katika kipindi cha Miezi 18 tangu walipopewa mikopo hiyo.
"Kwa mujibu wa sheria ya CIS (The Commodity Import Support Regulation Act, CAP 261 R. E. 2002 (s.8 (1)(b), Mkopaji ak... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More