WIZARA YA FEDHA WAASWA KUZINGATIA SHERIA ZA UTUMISHI WA UMMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WIZARA YA FEDHA WAASWA KUZINGATIA SHERIA ZA UTUMISHI WA UMMA


Mtumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Hilder Rugemalira akitoa hoja wakati wa kikao kati ya viongozi na Watumishi wa Wizara hiyo Jijini Dodoma.Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakisikiliza hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika kikao cha Watumishi wa Wizara hiyo Jijini DodomaMkurugenzi Msaidizi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Alfred Dede akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizoibuliwa wakati wa kikao cha Watumishi wa Wizara hiyo ambacho kiliongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Doto James (hayupo pichani), Jijini Dodoma.Mhasibu Mkuu wa Serikali, Bw. Francis Mwakapalila akijibu hoja katika kikao kati ya viongozi na Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango kilichofanyika Jijini Dodoma.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Adolf Ndunguru akifafanua jambo wakati wa kikao Kati ya Viongozi na Watumishi wa Wizara hiyo kilichofanyika Jijini Dodoma, ambapo Watumishi waliaswa kufanya kazi kwa bidii na weledi.
Na Jos... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More