WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia jambo katika Semina iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge) Ndg. Michael Nyagoya ambae ni Kaimu Kamishna Msaidizi Idara ya Sera na Utafiti Kitengo cha Maendeleo ya Sekta ya Fedha akitoa Mada wa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Sehemu ya watumishi kutoka Ofisi ya Bunge pamoja na Wabunge wakifuatilia jambo katika Semina iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More