Wizara Ya Kilimo Yaapa Kusafisha Wala Rushwa Wote na Wanaokwamisha Kilimo Cha Tumbaku Urambo Tabora - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wizara Ya Kilimo Yaapa Kusafisha Wala Rushwa Wote na Wanaokwamisha Kilimo Cha Tumbaku Urambo Tabora


Na, Editha Edward-Tabora

Waziri wa kilimo Mhe, Japhet Hasunga amezitaka bodi zote zilizopo chini ya Wizara yake kuanza kujitathimini kama zimeshindwa kuwaondolea kero ya Rushwa kwa Wakulima zijiondoe kabla ya mwezi wa saba mwaka huu

Kauli hiyo ameitoa akiwa Wilayani Urambo Mkoani Tabora wakati wa Ufunguzi wa soko la zao Tumbaku kitaifa huku akisema Wizara hiyo ina mpango wa Kusafisha watu wote ambao Wanaojihusisha na Rushwa na kukwamisha kilimo cha zao hilo

"Mwaka huu tunaanza mabadiliko makubwa ndani ya wizara ya kilimo ili Kusafisha watu waliozoea Rushwa wakafanye kazi sehemu nyingine siyo kilimo na niwaase bodi msiegemee upande wowote ule hakikisheni mnasimamia sheria"Amesema Hasunga

Mwenyekiti wa bodi ya Tumbaku nchini (TTB) Hassan Mwakasavi ameiomba Serikali kuhakikisha inawatafutia masoko ya zao hilo ili Wakulima walime kilimo cha zao hilo wakiwa na uhakika wa masoko yasiyo na Madeni na Usumbufu

"Ombi langu kwa viongozi itendeeni haki zao la Tumbaku ili Wananchi wanufaike na zao hili ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More