Wizara ya mambo ya nje ya Marekani, imeagiza kuondolewa wafanyakazi wa nchi hiyo waliopo Iraq haraka iwekezanavyo kufuatia hali ya wasiwasi kati ya mataifa hayo - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wizara ya mambo ya nje ya Marekani, imeagiza kuondolewa wafanyakazi wa nchi hiyo waliopo Iraq haraka iwekezanavyo kufuatia hali ya wasiwasi kati ya mataifa hayo

Wizara ya maswala ya kigeni nchini Marekani imeagiza kuondoka kwa kwa wafanyikzi ‘wasiofanya kazi za dharura’ nchini Iraq kufuatia hali ya waiswasi kati ya Marekani na Iran. Wafanyikazi katika ubalozi mjini Baghdad na wale wa ubalozi wa Irbil wametakiwa kuondoka haraka iwezekanavyo katika uchukuzi wa kibiashara. Ujerumani wakati huohupo imesitisha mafunzo ya wanajeshi wake nchini Iraq. Jeshi la Marekani lilisema siku ya Jumanne kwamba kiwango cha vitisho hivyo mashariki ya kati vilitolewa kutokana na ujasusi kuhusu vikosi vinavyoungwa mkono na Iran katika eneo hilo.

Ni kinyume na matamshi ya Jenerali mmoja wa Uingereza aliyesema kuwa hakuna vitisho vyovyote vilivyoongezeka. Chris Ghika ambaye ni naibu kamanda ya muungano wa majeshi dhidi ya kundi la wapiganaji wa Islamic State , aliambia maripota kwamba hatua zilizochukuliwa kuwalinda wanajeshi wa Marekani na washirika wao kutokana na vikosi vinavyoungwa mkono na Iran nchini Iraq na Syria zinatosha. ”Tunajua uwepo wao na tunaw... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More