WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAZUNGUMZIA HALI YA UPATIKANAJI MAZIWA NCHINI, YAHIMIZA KUFANYIKA TAFITI ZAIDI KUBAINI NG'OMBE BORA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAZUNGUMZIA HALI YA UPATIKANAJI MAZIWA NCHINI, YAHIMIZA KUFANYIKA TAFITI ZAIDI KUBAINI NG'OMBE BORA

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (wa tatu kushoto) akitoa tuzo kwa Mshindi wa kwanza wa Fahali bora kutoka Mbozi, Mkoani Iringa, Abraham Mwalutende wakati wa maonesho ya  Ng`ombe Bora wa Maziwa yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane jijini Dodoma juzi.Wapili Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa  ya Utafiti wa Mifugo (ILRI), Dk. Jimmy Smith na Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kushoto), akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Dk. Eligy Shirima alipokwenda kufungua rasmi Maonesho ya  Ng`ombe Bora wa Maziwa Tanzania yaliyofanyika katika viwanja vya Nanenane, Nzuguni jijini Dodoma jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa  ya Utafiti wa Mifugo (IRLI), Dk. Jimmy Smith.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Elisante Ole Gabriel (wa pili kulia) akizungumza wakati wa  maonesho ya  Ng`ombe Bora wa Maziwa yaliyofanyika katika Viwan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More