Wizkid aongeza wigo wa Star Boy Cloth Collection, afungua duka la nguo nchini Marekani (+picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wizkid aongeza wigo wa Star Boy Cloth Collection, afungua duka la nguo nchini Marekani (+picha)

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameendelea kuongeza wigo wa maduka yake ya nguo duniani kwani jana amefungua duka lingine Jijini New York nchini Marekani.Duka hilo linakuwa la pili baada ya mwezi uliopita kufungua duka la kwanza nchini Uingereza. maduka hayo yanauza nguo za jinsia zote.Wizkid kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amethibitisha kufungua duka hilo na nguo zote zimegongwa nembo ya Star Boy huku zikiwa zimeandikwa Made In Nigeria/ Lagos/ Ojuelegba.


Tazama picha za duka hilo.
WIZKID’S STARBOY POP UP SHOP, NEW YORK IS OFFICIALLY OPENING TODAY (PHOTOS)


WIZKID’S STARBOY POP UP SHOP, NEW YORK IS OFFICIALLY OPENING TODAY (PHOTOS)


WIZKID’S STARBOY POP UP SHOP, NEW YORK IS OFFICIALLY OPENING TODAY (PHOTOS) 


 


 


The post Wizkid aongeza wigo wa Star Boy Cloth Collection, afungua duka la nguo nchini Marekani (+picha) appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More