Wolper Adai Hataki Penzi La Mwanaume Ambaye Sio Mtanzania - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wolper Adai Hataki Penzi La Mwanaume Ambaye Sio Mtanzania

Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali maarufu Jacqueline Wolper amefunguka na kudai hawezi kuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na mwanaume ambaye sio Mtanzania.


Wolper ameweka wazi kuwa hawezi Tena kuwa Kwenye Mahusiano na mwanaume ambaye sio Mtanzania kwani alishajifunza siku za nyuma hivyo hawezi kurudia tena.


Kwenye mahojiano na gazeti la Amani, Wolper alisema kama ni kumpata mpenzi ambaye anaamini atamfaa basi lazima atoke ndani ya nchi yake japokuwa kuna watu walianza minong’ono kuwa alipokuwa nchini Kenya hivi karibuni, alikuwa na mpenzi raia wa nchi hiyo.Sifikirii kabisa kutoa penzi langu kwa mwanaume ambaye siyo raia wa nchi yangu kwa sasa kwa sababu huko nyuma nilipitia huko lakini sasa sihitaji tena kama nimeamua kupendana na mwanaume basi atakuwa ni wa nchi yangu tu”.Wolper ambaye kwa sasa aneweka makao nchini Kenya ameshawahi kuwa Kwenye na raia wa Kongo.


The post Wolper Adai Hataki Penzi La Mwanaume Ambaye Sio Mtanzania appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More