Wolper Ajivua Gamba Mashindano ya Miss Tanzania - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wolper Ajivua Gamba Mashindano ya Miss Tanzania

Mwanadada Jackiline Wolper amekanusha kuhusika na chochote katka kufeli kwa aina yoyote kule kwa mashindano ya miss tanzania yaliyofanyika wikiend iliyopita na mshindi kupatikana tayari.


Wolper anasema kuwa hakuna jambo lolote linalomhusu katika habari au uzusgi woowte unasambaa kuhusu kufeli kwa aina yoyote ya mashindano hayo.


Maneno ya Jackilne yanakuja baada ya mkurugenzi wa kampuni ya The Look ambao ndio walikuwa waandaaji wa  mashindano hayo ( Basila Mwanukuzi ) kusema kuwa uvumi wa kuwa zawadi ya mshindi ( GARI) haikuwana ubora ule uliopaswa kupewa mshindi wa shindano hilo.


Basila anasema kuwa Wolper amekuwa na chuki na mashindano hayo bada ya kutolewa katika wale waliopaswa kuwa majaji siku ya mashindano hayo.


Sihusiki chochote na mashindano ya misss tanzania na wala siwezi kuongelea chochote kuhusu kile ninachotuhumiwa nacho.


 


The post Wolper Ajivua Gamba Mashindano ya Miss Tanzania appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More