Ya Joshua Nassari na ubunge wake - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ya Joshua Nassari na ubunge wake

NIMESOMA yanayomhusu Joshua Samwel Nassari, mbunge wa Arumeru Mashariki, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kuvuliwa ubunge wake. Nimeona hapa kuna mwelekeo mkubwa wa kukubaliana na hukumu ya Spika Job Ndugai, kwamba Mheshimiwa Nassari hajahudhuria Mikutano Mitatu Mfululizo ya Bunge, kwa hiyo amepata anachostahili. Baadhi wameenda mbali zaidi na kudai Nassari ‘amevuta mpunga’ ...


Source: MwanahalisiRead More